FAIR LAB

Jumatano, 14 Agosti 2013

FOLENI YA KWENDA KUMUONA SHEKH PONDA HOSPITAL YA MUHIMBILI BALAA.


Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospital ya muhimbili...

NEW SONGS


 

 


CheZa.mp3
CheZa 04:14
3 Aug 2013
528
276
 
Umbwa-KingKola__WatengwaRecs__2.mp3
3 Aug 2013
845
497
 
LINEX_FT_SUNDAY_MJEDA_-_KIMUGINA(1).mp3
2 Aug 2013
2598
1713
 
mad_p_ft_gnako,atanas-nachezesha_tarehe.mp3
2 Aug 2013
1255
658
 
Ommy_Dimpoz_ft_J_Martins_-_Tupogo(1).mp3
1 Aug 2013
6227
2953
 
Majembe-Mi_Najua__NOIZ__SNIPPET-KIONJO.mp3
1 Aug 2013
357
144
 
AkiliMali ft Paradise-Same Same Girl (NOIZ).mp3
1 Aug 2013
540
295
 
Makomando_-_Kibabaa.mp3
31 Jul 2013
2909
1611
 
ADAM MCHOMVU - AU SIO_1.mp3
31 Jul 2013
2490
1492
 
Country_Wiz_Ft_G_Nako_-_Watch_Me_Mastering.mp3
30 Jul 2013
1695
986
 
BEI_YA_MKAA-JOH_MAKINI_NIKKI_WA_PILI.mp3
30 Jul 2013
3512
1932
 
Snura_-_NIMEVURUGWA.mp3
30 Jul 2013
2222
1222
 
H_baba_Ft_Husein_machozi_Linex_Popo_PRODUCEDBY_T_TOUCH_.mp3
28 Jul 2013
2412
1365
 
YOUNG_DEE_KIJUKUU_FIN_SONG.mp3
28 Jul 2013
3239
1921
 
Kapuku_Digital__ATOWN_HAITAWALIKI.mp3
28 Jul 2013
975
526
 
Dogo Janja-Serebuka.mp3
27 Jul 2013
3343
1824
 
FidoVato_ft_Dipper-Style_za_Kichuga__NOIZ_.mp3
25 Jul 2013
507
277
 

Show your love to HulkShare







00:00/00:0

Jumapili, 11 Agosti 2013

PICHA 3 ZA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI BAADA YA KUPIGWA RISASI BEGANI

SHEKHE ISSA PONDA ISAA







Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro

NEWS ALERT: FEZA ATOLEWA BIG BROTHER..!!


HABARI TANZANIA ......MPAKA SASA HIVI HAKUNA MTANZANIA ALIYE BAKI KATIKA SHINDANO LA BBA BAADA YA FEZA KUTOLEWA KATIKA JUMBA HILO DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA NA NDO ALIKUWA MTANZANIA WA MWISHO ALIYEKUWA AMEBAKI

AJALI YA GARI LA TANESCO IMETOKEA USIKU HUU KWA SADALA MOSHI...

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Gari la shirika la umeme Tanzania (Tanesco) imepinduka usiku huu baada ya kugongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Corola katika eneo la Kwa Sadala barabara ya Moshi/Arusha.
Kwa mujubu wa shuhuda wa ajali hiyo, gari la Tanesco lilikuwa limepakia wafanyakazi wa shirika hilo wapatao 18 wakitokea eneo la KIA kuelekea mjini Moshi.
Amesema dereva wa gari dogo alikuwa akijaribu kuzipita gari kadhaa zilizokuwa zikielekea Arusha ndipo akakutana na Loli hilo kabla ya kurudi upande wake.
Ndipo gari magari hayo yakagongana na kisha gari la Tanesco kupinduka. Shuhuda amesema majerhi wa ajali hiyo walikimbizwa hosptali ya KCMC huku dereva wa gari hilo dogo akiingia mitini na kutokomea kusiko julikana.

Toyota Corola lililosababisha ajali hii

BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI KARIBU NA BAGAMOYO...!!

Basi la meridian lililokuwa linatoka rombo kwenda Dar limeanguka karibu na mbwewe Bagamoyo. Siti zote ziko nje. Inasemekana kuwa kuna watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. Tunawapa pole wahanga wa ajali hii!

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU WAACHIA PICHA ZA UTUPU








Msichana aliyefahamika kwa jina la Eliza akiwa katika picha za utupu alizopiga akiwa Hostel moja iliyopo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni ijulikanayo kwa jina la Kipepeo.

Wanafunzi Lucy na Eliza wakiwa kwenye chumba wanachoishi.

Eliza akiwa kwenye picha ya pozi.

Eliza akiwa kwenye pozi ya picha ya utupu .



Lucy akiwa kwenye pozi ya picha ya utupu .





Lucy




Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wa chuo kimoja ambacho hadi sasa hakijafahamika wamepiga picha za utupu kwa lengo la kuwanasa wanaume wapenda ndono.
Tumezinasa picha hizo toka kwa chanzo chetu cha habari ambazo hazifai hata kutizamwa mbele ya jamii.
Habari zaidi juu ya picha hizo inasemekana wanafunzi hao wanaishi wanatokea mkoani Arusha na wanasoma moja ya vyuo vikubwa Jijini Dar na wanaishi maeneo ya Kinondoni Mkwajuni kwenyhe nyumba ya wageni ijulikanayo kwa jina la Kipepeo.
Hata hivyo wanafunzi hao wanadaiwa wanekuwa wakijihusishwa na vitendo vya ngono ya wazi wazi ndani ya Hostel hiyo kiasi cha wanaume wengi hupanga foleni kupata hudumu.


Picha hizi zinazoonekana zilipigwa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,ambapo mazingira ya picha hizo inaonekana kulikuwa na watu watatu ndani ya chumba hicho ambapo mmoja ilidaiwa alikuwa mwanaume.
Inasemekana mwaname huyo ambae alikuwa amefika hapo kwa ajili ya kupata kiburudisho na baadae wasichana hao waliomba kupigwa picha kwa ajili ya kuzirusha kwenye mtandao,ambapo baada ya kupewa taarifa za kuwepo picha hizo maeneo hayo ilifunga safari hadi maeneo ya Kinondoni Mkwajuni kwa ajili kupata picha hizo za wasomi wetu wa baadae.
Hatimae waandishi wetu walifanikiwa kupata cd ya video hiyo amba kuna picha mbaya ambazo kutokana na kulinda maadili ya nchi yetu tumeshindwa kuzianika mbele hapo. Hatukuweza kupata namba za simu za mabinti hao ili kujuwa kulikoni kufanya upuuzi huo na inaendelea kuwatafuta na kujuwa chuo wananchosoma siku mbili hizi tutakitaja chuo wananchosoma na kuongea na wahusika