FAIR LAB

Jumapili, 11 Agosti 2013

BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI KARIBU NA BAGAMOYO...!!

Basi la meridian lililokuwa linatoka rombo kwenda Dar limeanguka karibu na mbwewe Bagamoyo. Siti zote ziko nje. Inasemekana kuwa kuna watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo njee. Dereva bado hajatolewa. Tunawapa pole wahanga wa ajali hii!


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni